June
19

IJUE RATIBA YA LIGI KUU YA UINGEREZA 2013-2014



Ratiba ya Barclays Premier League imetoka rasmi leo na mechi za kwanza zitafinyika tarehe 17 August 2013.

Man Utd atacheza na Swansea, Chelsea nao watakutana na Hull, wakati Liverpool watacheza na Stoke, Man City vs Newcastle.

Ligi itamalizika May 11 2014 ambapo Chelsea head to Cardiff, Manchester United go to Southampton and Arsenal are at Norwich, with Manchester City at home to West Ham.

June
19

ANDREW GARFIELD KAKUBALIKA KUCHEZA MOVIE MBILI ZA SPIDER MAN

British Actor Andrew Garfield amekubali kuwa main Actor kwenye movie mbili zijazo za spider-man.

Wakurugenzi wa kampuni ya Sony wametangaza kutakuwa na movie mbili za spider man, ya kwanza itatoka 2016 na nyingine itatoka 2018.

The Amazing Spider-Man iliyotayarishwa na Marc Webb, ilifanikiwa kufikia mauzo ya pound million 480.

The Amazing Spider-Man 2 inatarajiwa kutoka 2016 na Jamie Foxx ndiye atakaye kuwa adui mkuu kwenye movie hiyo

June
19

ZIFF WAFUNGUA PAZIA KWA TUZO ZA WASANII WA FILAMU

Tamasha linalofanyika kila mwaka Visiwani Zanzibar kwa kushirikiana na nchi za Jahazi linalofahamika kwa jina la Zanzibar International Film Festival(ZIFF) kuanza rasmi Tarehe 29 June – 7 July 2013.

Tamasha hilo ambalo litadumu kwa muda wa siku kumi, litafanyika Visiwani Zanzibar, litawajumuisha watu 150,000 ambao watakaoangalia movie na ku- attend katika different workshops kwa ajili ya mafunzo ya upigaji picha za mnato na picha za sipidi.


Continue Reading

Tags:
Posted in Home Page | No Comments »

June
19

SALMA & SIR DATTY ~ NGOJA KIDOGO (OFFICIAL HD VIDEO)

June
18

ATTENTION : NANDO NEEDS YOUR HELP NOW.

Nando is a Tz Representative kwenye Big Brother Africa 2013 without forgetting Fezza Kessy. Nando amekuwa nominated kutolowea kwenye jumba hilo la BBA.

Nando anahitaji kura yako ili aendelee kubaki kwenye jumba hilo la Big Brother.

To vote for Nando just click here

Tags:
Posted in Home Page | No Comments »

June
18

CHRIS BROWN FT AALIYAH ~ DON’T THINK THEY KNOW

Nyimbo mpya ya Chris Brown yenye mashairi ya marehemu Aaliyah inayoitwa “Dont Think They Know”.

June
18

NARUDI KWA SPEED LIKE A JET

Msanii wa Bongo fleva Karim Othumani alias K-One ambaye alitamba na wimbo wake wa ‘Rafiki’ aliyetamba mwaka 2010 na kushirikiana vyema na Maunda Zoro.

Currently anarudi upya katika game na ma-song kibao ya kutisha, hivyo anawaomba ma-fans wake wakae mkao wa kupokea new track hivi soon.

“Yeah ni kweli narudi kwa speed kali kwenye game ya bongo fleva. Ninafanya kazi na Ali Baucha na hivi soon track yangu mpya itakuwa hewani”

Tags:
Posted in Home Page | No Comments »

June
18

AMANI YA MOYO (OFFICIAL HD VIDEO) BY FEZZA KESSY

New video ya Fezza Kessy inayoitwa amani ya moyo iliyotengenezwa na mkali Nisher….

June
18

COMING SOON : MY BABY (OFFICIAL VIDEO) BY QUICKROCKA

Qickrocka is planning to launch his new video pande za Ambassador Lounge siku ya friday 21st June 2013.

Among the guest Mc’s are Young Killa, Stamina, Izzo B na Mirror.

June
18

MCHEKI AY AKIWA KWENYE MAHOJIANO NA BBC

  1. Pages:
  2. 1
  3. 2
  4. 3
  5. 4
  6. 5
  7. 6
  8. 7
  9. 8
  10. 9
  11. ...
  12. 133

©Copyright 2013 baabkubwamagazine. BaabKubwa Magazine® is a registered trademark. All rights reserved.