May
25

MUZIKI GANI KWENDA MAISHA CLUB

Baada ya kupiga show ya nguvu pande za Dar Live, sasa wakali wa wili wa miondoko ya bongo flava wanaelekea pande za maisha club kesho.

Diamond na mkali wa hip hop Nay Wa Mitego watapiga show kali siku ya kesho tarehe 26/05/2013 ndani ya maisha club.

Entrance fee ni Tsh 10000/= tu. Nenda kashahudie Diamond na Nay wakipiga show ya nguvu.

May
25

MWAKILISHI WA BBA (THE CHASE) KUTOKA TANZANIA

Miss Fezza Kessy ndiye mwakilishi kutoka Tanzania atakaye tuwakilisha katika mashindano ya Big Brother Africa 2013.

Big Brother Africa 2013 itaanza tarehe 26 May 2013. Ina jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 kutoka Africa.

Mshindi ataondoka na kitita cha dolla laki tatu. Show hii ya big brother itarushwa na station ya M-net.

Watanzania wanaombwa watoe full support kwa mshiriki wetu Fezza Kessy.

May
25

[NEW AUDIO] WAKUVWANGA – VATU

Wakivwanga

May
25

Kocha wa Togo atishia kujiuzulu

Turkey v Ivory Coast - International Friendly
Kocha wa Togo Didier Six, ametishia kujiuzulu, ikiwa shirikisho la mchezo wa soka nchini humo halitamlipa dola elfu mia moja na ishirini na nane anazowadai, kutokana na matumizi yake.

Six amesema fedha hizo zinatokana na gharama zake wakati alipokuwa ziarani barani Ulaya kuwachunguza wachezaji.

Kocha huyo sasa ameipa shirikisho la mchezo wa soka nchini Togo, ilaani ya kulipa fedha hizo la sivyo ajiuzulu. Hata hivyo viongozi wa soka nchini humo wamehoji deni hilo wakisema ni kubwa zaidi.

Gonga continue reading kuendelea..
Continue Reading

May
25

BBC SWAHILI: Muungano wa AU washerehekea miaka 50

130524142410_au_flag_304x171_bbc_nocredit
Wageni mashuhuri na marais wa Afrika wameanza kuwasili mjini Addis Ababa Ethiopia kwa sherehe za kuadhimisha miaka hamsini tangu kuanzishwa kwa Muungano wa Afrika.

Muungano wa Afrika wakati huo ukijulikana kama OAU,uligeuza jina na kujulikana kama AU mnamo mwaka.

Hapo kesho Jumamosi kutakuwa na sherehe za kilele kuadhimisha miaka hamsini ya AU na Zitahudhuriwa na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na marais wengine wa Afrika.

Gonga continue reading kuendelea..
Continue Reading

May
25

[NEW SONG] CANNIBAL – BYE BYE

Cannibal
Hii ni brand new toka kwa Cannibal baada ya kuachia Legend iliyotambulika zaidi kwa video yake ya kipekee,Cannibal ameamua kufanya wimbo huu as a special dedication to his father,hii ni maalum kwa baba yangu mzazi,nimemkumbuka sana na natumai wote mtaipokea vizuri wakati nikiendelea kujiandaa na video itakayofanyika hivi karibuni “Cannibal”

May
25

WASANII UGANDA WAMUOMBEA IRYN

IRYN REDPP38(1)
Wasanii wa muziki nchini Uganda wadau pamoja na wanafamilia wa mwanamuziki Iryn Namubiru wameungana pamoja katika kanisa la All Saints jijini Kampala kwa ajili ya kuombea hatma ya mwanamuziki huyu ambaye anashikiliwa huko Japan wakati akisubiria kusomewa hukumu yake leo.

Wasanii maarufu walioshiriki katika shughuli hii ni pamoja na Juliana Kanyomozi, Silver Kyagulanyi, Bobi Wine, Catherine Kusasira, Pastor Wilson Bugembe, Julie Mutesasira na Dr. Hilderman.

Gonga continue reading kuendelea..
Continue Reading

May
25

PSY FEKI AFANYA MATANUZI KOREA

Psy169331996
Hakika dunia hii haviishi visa na vimbwanga safari hii ameibuka jamaa mmoja anayefanana kabisa na msanii maarufu wa muziki wa Korea Psy, na jamaa baada ya kugundua hili, amekuwa akitumia nafasi hii kuhudhuria matukio makubwa akiwa amejipanga kama vile Psy mwenyewe.

Psy huyu feki ambaye kila mahali amekuwa akitembea na walinzi na kushobokewa na paparazi na watu mbalimbali, tayari amekwishaonekana sehemu kubwa kama vile Torch Beach Club na katika sherehe huko Monaco ambapo amekuwa akichukuliwa kama Psy mwenyewe.

Gonga continue reading kuendelea..
Continue Reading

May
25

RADIO,WEASEL JUKWAANI SA

1-weasel-radio-put-on-a-great-show1
Wasanii kutoka Afrika Mashariki ambao kwa sasa wanabang kwenye headlines sana kutokana na kupata nomination kwenye tuzo maarufu duniani za BET, Radio na Weasel kutoka Uganda, leo watakuwa Jijini Pretoria Afrika Kusini kwa ajili ya onyesho mbele ya tukio kubwa la ufunguzi wa kipindi maarufu cha televisheni cha uhalisia Afrika.

Katika onyesho la ufunguzi wa kipindi hiki, wasanii mbalimbali wakubwa kama vile Stella Mwangi aka STL kutoka Kenya, Don Jazzy na D’Prince wa Nigeria vilevile Mafikizolo kutoka Afrika Kusini ni sehemu ya wakali watakaopanda jukwaani kutumbuiza.

Gonga continue reading kuendelea..
Continue Reading

May
24

DR SLAA RUKSA KUOA

Hatimaye Katibu Mkuu wa Chama Cha Chadema Dr. Willibrord Slaa amekubaliwa kufunga ndoa na mpenzi wake kutokana Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kutupilia mbali Rufaa ilyokuwa imefunguliwa na aliyekuwa mume wa Josephine Mushumbusi.

Suala hili limedhihirishwa na Jaji Aneth Wambura kwamba uamuzi huo wa kuitupa rufaa hiyo ni kwa sababu haina mantiki ya kisheria.

Jaji pia aliongezea kwa kusema “Dr. Slaa anruhusiwa kufunga ndoa hiyo na mpenzi wake huyo.”

Tags:
Posted in Home Page | No Comments »
  1. Pages:
  2. 1
  3. 2
  4. 3
  5. 4
  6. 5
  7. 6
  8. 7
  9. 8
  10. 9
  11. ...
  12. 121

©Copyright 2012 baabkubwamagazine.com. BaabKubwa Magazine® is a registered trademark. All rights reserved.